Header Ads

Breaking News
recent

Kongamano la Kimataifa la Kiswahili




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Profesa Alawia Omar Saleh, alipowasili katika viwanja vya Wizara ya habari kikwajuni kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni.


No comments:

Powered by Blogger.